Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Wataweza kuishi kivyao?

Bibie naona wamemshikia bango. Hata amani ya ndoa naona haioni.
Wataweza ndio maana wametumia nguvu ya social media ili wakipata vikwazo familia ilaumiwe. Social media ni ngao kwao.

Sana kuwa na damu nyeusi kumemponza. Juzi kavaa ka blaus ee bana kwapa likatema ikaonekana wacha amwagiwe maneno ya kejeli mitandaon
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…