Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Trayo ende era [emoji16][emoji16][emoji16]
Mungu ni mwema sana, sisi wakulima tunashangilia mvua ya kuchipua mahindi yetu[emoji28]Upande wangu poa kabisa. Huko kwako kukoje? Heshima hiyo ya pekee na ikurudie pia sabini mara sabini TH. Waite King na Carba sasa ili moto wa hashtags uwake [emoji16][emoji16][emoji16]
Hii ndio hatari zaidi [emoji3][emoji3]Trayo ende era [emoji16][emoji16][emoji16]
Yeah! Bwana VAR sasa siyo mwenzetu. Anakula halafu anakula na kula tena yaani ni full urojo tu. Kaite Kazaramo kasije kupitwa na hii [emoji16][emoji16][emoji16]Mungu ni mwema sana, sisi wakulima tunashangilia mvua ya kuchipua mahindi yetu[emoji28]
Haha, ngoja niwaite waje kumpa hongera Bwana VAR, Kuopoa ka binti kachangamfu.!
Sent using Jamii Forums mobile app
Liverpool last won the top English league in the 1989/90 season under Kenny Dalglish.
View attachment 1317253
enzi hizo wachezaji walikuwa wanafuga sharubu kama steringi wa kihindi...
akshay kumar
suniel shetty
sunil deo
amrish puri
amitta bhacchan
View attachment 1317278
kumbe nyakati zile liverpool anachukua ubingwa hata wazungu walikuwa hawatahiriwi
nikianza kupotea humu mtekaji mmeshamjuaYeah! Bwana VAR sasa siyo mwenzetu. Anakula halafu anakula na kula tena yaani ni full urojo tu. Kaite Kazaramo kasije kupitwa na hii [emoji16][emoji16][emoji16]
chanzo JF:
Mwandishi Nguli wa Kazi za Fasihi ya Kiswahili Prof. Euphrase Kezilahabi amefariki dunia. Tutamkumbuka Kezilahabi kwa kazi zake kama Rosa Mistika, Uwanja wa Fujo, Kaptula la Marx, Nagona na Mzingile! Alitetea Mashairi ya Kisasa!
yupo anayemiliki softcopy ya kitabu hiki?
Kaptula la Marx,