Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Tutamshambulia mpaka atakurudisha. We will be like bring back our VAR, Free mwogopa makombeo, Tumekosa picha za misambwanda. Itabidi tu akuachilie aiseenikianza kupotea humu mtekaji mmeshamjua
#if_i_die_resurrect_me
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Nikale raha ya milele kwenye kuimba na kuabudu 24/7....japo huwa naitamani tamani ile akhera nyingine ya mabikra 72. Haya mambo we acha tu aisee. Hufai [emoji16][emoji16][emoji16]
carbamazepine shemeji The Don anakuita[emoji2088]Yeah! Bwana VAR sasa siyo mwenzetu. Anakula halafu anakula na kula tena yaani ni full urojo tu. Kaite Kazaramo kasije kupitwa na hii [emoji16][emoji16][emoji16]
Niko tayari. Ufafanuzi tu ndo unahitajika jinsi ya kukwolifai...Uje kwenye hiyo ya mabikira 70[emoji23][emoji23] ingawa ina ugumu wake
Sent using Jamii Forums mobile app
Mafyekero
ha ha hii kitu na sisi wafilisti ni kama irani na americaTutamshambulia mpaka atakurudisha. We will be like bring back our VAR, Free mwogopa makombeo, Tumekosa picha za misambwanda. Itabidi tu akuachilie aisee
Hichi jamaa kabeba kazunguka nacho weee kuja kukitua chini tayari kituuuu....
Waziri wa Mambo ya Ndani, Kangi Lugola leo Januari 9 amemvua madaraka Ofisa wa Nida mkoni Ruvuma, Seif Mgonja kwa kosa la kutogawa kwa wananchi namba za utambulisho wa taifa 14,493 tangu Desemba 31, 2019. Pia amemuondoa Ofisa wa Nida Wilayani Namtumbo kwa kutohudhuria kikao chake
Usinisahau na mimi hiyo App[emoji51][emoji51][emoji51]Mbona inaeleweka hiyo.
Ila ipo kinyume cha sheria,
Hata hivyo ukishindwa hiyo nitakupa Applications furani itakusaidia
Sent using Jamii Forums mobile app
TH acha unless uwe na uhakika na uwe umejiandaa vizuri kisaikolojia kwa utakayoyakuta huko...