Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Hapana. Nimekupa hiyo article hapo juu kama mfano. Evolutionary Biologists wameshafanya tafiti nyingi kuhusu hii ishu na wanakubaliana kuwa kuna sababu za kimaumbile zinazotokana na evolution ambazo zinawafanya wanaume wawe more susceptible to cheating kuliko wanawake.Kwahiyo tukubali ni Tamaduni na si Nature
[emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Bro usiwe na uhakika kihivyo. Huishi nao [emoji16][emoji16][emoji16]Hao hawana Mchepuko kabisa inajulikana kabisa
Wenye wanawake wengi ndo wenye matatizoBro Kwahiyo Bill gate lazima atakuwa na matatizo maana ki uchumi yupo vizuri na je hayo matatizo aliyonayo ni matatizo yepi
Masoud atusaidie hapa
Habari za wakati huu Bro
Ila hakuna mahala wamepewa Haki ya kucheatHapana. Nimekupa hiyo article hapo juu kama mfano. Evolutionary Biologists wameshafanya tafiti nyingi kuhusu hii ishu na wanakubaliana kuwa kuna sababu za kimaumbile zinazotokana na evolution ambazo zinawafanya wanaume wawe more susceptible to cheating kuliko wanawake.
Hapendi chumvi[emoji125][emoji125][emoji125][emoji23][emoji23]carbamazepine ama hapendi chumvi.?[emoji2088]
Kwani nyie mnaishi nao?Bro usiwe na uhakika kihivyo. Huishi nao [emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23] hili swali la mwisho kuhusu hiyo ishu, sijawahi kuweza kupenda watu wawili kwa mpigo.
Unaweza kutoka na ex wa rafiki yako?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hili swali sijawahi kujibu ukweli na siwezi kuanza leo[emoji23][emoji23][emoji23] swali lingine pleaseHapana siwezi pia mara nyingi hata mazoea na wapenzi wa rafiki za sitaki
Tangia kuanza kwako mahusiano umefikisha wanaume zaidi ya watano, Na umewahi kuwa na mahusiano yaliyo dumu zaidi ya miaka 3
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Endelea kujibu bana. Wengine tuko hapa na madaftari yetu tunachukua notisi tena kwa uangalifu wa hali ya juu [emoji16][emoji16][emoji16]Hili swali sijawahi kujibu ukweli na siwezi kuanza leo[emoji23][emoji23][emoji23] swali lingine please
Sent using Jamii Forums mobile app
Hili swali sijawahi kujibu ukweli na siwezi kuanza leo[emoji23][emoji23][emoji23] swali lingine please
Sent using Jamii Forums mobile app
Naachana rasmi na mjadala huu. Kuna hatari ya watu kukwazika...
Endelea kujibu bana. Wengine tuko hapa na madaftari yetu tunachukua notisi tena kwa uangalifu wa hali ya juu [emoji16][emoji16][emoji16]