Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Kuna wengi walioolewa wakionekana wana tabia njema ila baadaye wakabadilika. Japo zinasemwa sababu nyingi ila ukweli ni kuwa mabadiliko ya tabia yao yalichagizwa kwa kiasi kikubwa na hisia tasa za mapenzi juu ya wenzao.