Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Unachoona kigumu kwao wanahisi si ugumu bali ni changamoto za kuzidisha jitihada na umakini tu. Kwenye mapenzi pia hali haiko tofauti sana
Hehehehee carba bana. Kule wachache sana wanaokataa. Wengi maharage ya mbeya. Mjini na vijijini hakuna tofauti kwa sasa labda tuseme tofauti ni ushamba tu
Kila mmoja anatafuta maisha mazuri tatizo sasa mkurupuko unakua mkubwa mno
BILA UVUMILIVU UTAACHA KILA SIKU, KUWA MAKINI KATIKA HILI
Duh!!....Halafu kijijini kwa sasa kunaongoza wanawake wasiojua kukataa yaan kwao kuchapwa ni dakika mbili tu ili mradi mwanaume ajue kudanganya kwa ahadi tele. Vibinti vidogo dogo tayari vina watoto wawili na kuendelea
Chiiiii unakosa uhondo. Fanya mipango utapata asiyekupa stressHahaha Mimi sipendi sana stress ....hii ni 1 ya sababu inayo nifanya nipende kubaki kuwa single
Sent using Jamii Forums mobile app
. Jirani.....Hehehehee carba bana. Kule wachache sana wanaokataa. Wengi maharage ya mbeya. Mjini na vijijini hakuna tofauti kwa sasa labda tuseme tofauti ni ushamba tu
Kila mmoja anatafuta maisha mazuri tatizo sasa mkurupuko unakua mkubwa mno
Hakika...
Daah tanzania kuna wabunge wengi wengine hata hatuwafahamu. RIP mbunge![]()
TANZIA - Mbunge wa Newala Vijijini, Ajali Rashid akutwa amefariki katika Gesti ya Mingoyo
Mbunge wa Newala vijijini, AJALI RASHIDI AKBAR amekutwa amefariki katika gesti ya Mingoyo - Mnazi Mmoja - Lindi, inaelezwa kuwa yeye ndio mmiliki wa gesti hiyo mpaka sasa bado chanzo cha kifo chake hakijafahamika na mwili wake umepelekwa hospitali ya Sokoine kwa uchunguzi. Spika wa Bunge la...www.jamiiforums.com
All the good stuff happens outside our comfort zone.
Ah! HatariMie nimejionea hapa hapa mjini binti toka kijijini miaka 17 ana mtoto kamuacha huko kwao ila hajakaa hata wiki keshaanza kugawa kama peremende mwenyewe anasema hawaondoki nacho. Hana hofu ya ngoma kabisa
Abeeeee. Jirani.....
Aiseee huwa napata stress nikishuhudia yasiyofaa nafikiria ningetendewa mie au mtu wangu wa karibu ningejisikiaje daahKabisaa.... Absolutely truth.. Hahaha kuna sehemu 1 nilikwenda mbeya ndani ndani huko ..ilikuwa mwaka 2017 ..basi kuna wachina walikuwa na project yao huko Ya uchimbaji madini ... Mama yangu laana zinazo fanyika huko ni mtihani " Tangu siku Hiyo nijionee hayo niliapa sintokuja kumshauri mwanaume mwenzangu akaoe kijijini/vijijini
Sent using Jamii Forums mobile app
Sina la kusema tena...Abeeeee
Hiyo kitu inaitwa mturaHee kumbe utumbo huwa unachomwa aiseee
#mieMshambaKumbe