Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Halafu kijijini kwa sasa kunaongoza wanawake wasiojua kukataa yaan kwao kuchapwa ni dakika mbili tu ili mradi mwanaume ajue kudanganya kwa ahadi tele. Vibinti vidogo dogo tayari vina watoto wawili na kuendelea
Yaani mkuu huko ni kurupushani ... Mwishoni mwa mwaka Jana nilikuwa kijiji Fulani hapa tz ..niliyo yaona Yana sikitisha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mie nimejionea hapa hapa mjini binti toka kijijini miaka 17 ana mtoto kamuacha huko kwao ila hajakaa hata wiki keshaanza kugawa kama peremende mwenyewe anasema hawaondoki nacho. Hana hofu ya ngoma kabisa
 
Halafu kijijini kwa sasa kunaongoza wanawake wasiojua kukataa yaan kwao kuchapwa ni dakika mbili tu ili mradi mwanaume ajue kudanganya kwa ahadi tele. Vibinti vidogo dogo tayari vina watoto wawili na kuendelea
Kwahiyo sisi tunaokaa vijijini ndo hatujui kukataa??
Unataka kupigwa??[emoji23][emoji23]
..
..
..
..
..
Sema maisha yanaenda yakibadilika,wa vijijini nao wanatamani maisha mazuri kama hawa wanaoishi mijini.
Tamaa za maisha mazuri ndo zinawaponza

All the good stuff happens outside our comfort zone.
 
Mfumuko wa globalization pia na wao haujawaacha salama...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwahiyo sisi tunaokaa vijijini ndo hatujui kukataa??
Unataka kupigwa??[emoji23][emoji23]
..
..
..
..
..
Sema maisha yanaenda yakibadilika,wa vijijini nao wanatamani maisha mazuri kama hawa wanaoishi mijini.
Tamaa za maisha mazuri ndo zinawaponza

All the good stuff happens outside our comfort zone.
Hehehehee carba bana. Kule wachache sana wanaokataa. Wengi maharage ya mbeya. Mjini na vijijini hakuna tofauti kwa sasa labda tuseme tofauti ni ushamba tu

Kila mmoja anatafuta maisha mazuri tatizo sasa mkurupuko unakua mkubwa mno
 
Back
Top Bottom