Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Yaani now days ukitembelea huko vijijini ..Mambo ambayo utakayo kutana nayo yanatia kinyaa.... Watu hawana maadili tena kama ilivyo zamani " Ukijitoa ufahamu kuoa mke Toka huko Bila shaka ndio itakuwa umeamua kujikaribishia matatizo katika maisha YakoZamani watu walidhani kuoa kijijini ni chanzo cha ndoa za amani na furaha kutokana na jinsi watu wa kijijini wengi wao kulelewa katika maadili mema ila sasa watu wanaona dhana hiyo haina ukweli kutokana na vioja walivyokutanavyo wengi katika ndoa za namna hiyo.
Halafu kijijini kwa sasa kunaongoza wanawake wasiojua kukataa yaan kwao kuchapwa ni dakika mbili tu ili mradi mwanaume ajue kudanganya kwa ahadi tele. Vibinti vidogo dogo tayari vina watoto wawili na kuendeleaYaani now days ukitembelea huko vijijini ..Mambo ambayo utakayo kutana nayo yanatia kinyaa.... Watu hawana maadili tena kama ilivyo zamani " Ukijitoa ufahamu kuoa mke Toka huko Bila shaka ndio itakuwa umeamua kujikaribishia matatizo katika maisha Yako
Sent using Jamii Forums mobile app
Tunakupenda piaNina furaha ya kina kukutana na nyinyi hapa kwa Mara nyingine tena ....
Sina mengi ya kusema zaidi ya neno hili Mujarabu Nawapenda sana
Sent using Jamii Forums mobile app