Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kabisaa.... Absolutely truth.. Hahaha kuna sehemu 1 nilikwenda mbeya ndani ndani huko ..ilikuwa mwaka 2017 ..basi kuna wachina walikuwa na project yao huko Ya uchimbaji madini ... Mama yangu laana zinazo fanyika huko ni mtihani " Tangu siku Hiyo nijionee hayo niliapa sintokuja kumshauri mwanaume mwenzangu akaoe kijijini/vijijini
Hehehehee carba bana. Kule wachache sana wanaokataa. Wengi maharage ya mbeya. Mjini na vijijini hakuna tofauti kwa sasa labda tuseme tofauti ni ushamba tu

Kila mmoja anatafuta maisha mazuri tatizo sasa mkurupuko unakua mkubwa mno

Sent using Jamii Forums mobile app
 

All the good stuff happens outside our comfort zone.
 
Daah tanzania kuna wabunge wengi wengine hata hatuwafahamu. RIP mbunge
 
Aiseee huwa napata stress nikishuhudia yasiyofaa nafikiria ningetendewa mie au mtu wangu wa karibu ningejisikiaje daah
 
Wakati wengine wakiona tofauti zao ni kama changamoto za kusomana tabia na kuamua kuishi kutokana na kila mmoja kumjua mwenzake. Wenzao wanaona suluhisho la yote ni kila mmoja kuwa na maisha yake. Suala la uvumilivu kwao hamna.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…