myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
inlaw unazunguka nchi sijapata kuona[emoji23][emoji23][emoji23]Busisi nilishahama saiv nipo huku usagara[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Huku salama kabisa,za huko duniani?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]inlaw ni huku huku koromije wajameniinlaw unazunguka nchi sijapata kuona[emoji23][emoji23][emoji23]
Huku duniani ni matope tu kila mahali..
Hahaha.Na Cole Williams mtoto wa waziri[emoji23][emoji23]
All the good stuff happens outside our comfort zone.
55555 haiwezekani inlaw, sisi wana nzengo Tunaijua usagara moja kubwa ya Tanga tu.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]inlaw ni huku huku koromije wajameni
AiseeMamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imepiga marufuku Watu wenye vitambulisho vya NIDA kuwasajilia wenzao wasiokuwa navyo laini zao kwa alama za vidole kwa madai ya kuwaokoa wasifungiwe.
•
“Atakayebainika anatumia namba yake ya NIDA kumsajilia laini mwenzake, adhabu ni kulipa faini isiyopungua Million 5 au kwenda jela miezi sita au adhabu zote kwa pamoja” - TCRA
#MillardAyoUPDATES
All the good stuff happens outside our comfort zone.
AiseeBusisi nilishahama saiv nipo huku usagara[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Huku salama kabisa,za huko duniani?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tembea uone aunt. Usagara maarufu kwa wapanda mabasi sio ndege kama wewe wa kishua bana55555 haiwezekani inlaw, sisi wana nzengo Tunaijua usagara moja kubwa ya Tanga tu.[emoji23][emoji23][emoji23]
#NaonaUmekujaPwani
#KupungaUpepo