Nigendako
JF-Expert Member
- Dec 1, 2017
- 23,296
- 122,446
Ha ha mtoto ana balaa huyo..Jizazi....
Huyo mdada mwenye blauzi nyeusi mkono wake umeuona?Duh,mbona kama kuna mtu yupo juu
[emoji23][emoji23][emoji23]nimeonaa
Mwaka huu chukua form brother ..Eti utanipandisha mlima na kunishusha bure kabisa...Mtu mwenyewe unaumwa. Sitaki mada kesi miye [emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji3591][emoji3591][emoji3591]Yeah! Kuna tatizo mahali. Tena kubwa tu. Na facial recognition system si ajabu tayari. Copy and paste kutoka Kigali...
Ila 2020 ndiyo hii...
Mshabiki na mpira wa miguu aliy eiva ni yule anayevumilia maumivu ya kufungwa kwa timu yake na kebehi za watani wake.
Kama huliwezi hili hamia mchezo mwingine View attachment 1329783
Sent using Jamii Forums mobile app
Ninge, hii kitu mwendelezo umetoka.?
Mkokaa asingeweza[emoji2]Sisi mashabiki w liverpool tuliokuwepo kwa muda kiasi, tumevumilia mengi.
Jiulize kucheza ligi yenye ushindani ukiwa na kikosi madhubuti, lakaini miaka 30 unasotea ubingwa.
Je wewe ungeweza?
Sent using Jamii Forums mobile app
Unaifatilia?safi sana..bado haijatoka aiseeNinge, hii kitu mwendelezo umetoka.?
[emoji41][emoji41][emoji41][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
#amfreesoul
Aise,nimeonaHuyo mdada mwenye blauzi nyeusi mkono wake umeuona?