moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Una furahi nn inlaw?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nafurahia utulivu wa stella[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Una furahi nn inlaw?
😂😂😂 Stella
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]naona Esta na kundi lake leo wamekuweza
#kimyaKabisa
#upoupoTuLeo
walimkata sikio lote au walimnyofoa kipande?Husein Minja ambaye ni Mfanyabiashara Wilayani Mwanga, Kilimanjaro amesema baada ya kuvamiwa na Watu wanne wanaodaiwa ni Waporaji akiwemo Tilya ambaye ni Mfungwa aliyesamehewa na Rais Magufuli, walimkata sikio na kuchukua Tsh.Million 12 lakini alipambana nao hadi akafanikiwka kuokoa Tsh.Milion sita na wakaondoka na Million 6.
•
Minja anasema alipigwa hadi kuzimia na aliposhtuka alimuona Tilya akiwa kwenye dressing table, akachukua panga na kumkata kiunoni ili kujiokoa huku akipiga kelele, Majirani wakaingia na kumshambulia Tilya hadi kufariki.
😂😂😂 Stella
pata burudani hii special for you
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Yani weweNafurahia utulivu wa stella[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23]hamna mtu mpole humu[emoji23][emoji23][emoji23] Stella
pata burudani hii special for you
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hadi wewe Leo hunisapoti!?lol?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Halafu Jana tumeshinda bro..ile ofa inabidi tujipongeze leo
Sent using Jamii Forums mobile app
Husein Minja ambaye ni Mfanyabiashara Wilayani Mwanga, Kilimanjaro amesema baada ya kuvamiwa na Watu wanne wanaodaiwa ni Waporaji akiwemo Tilya ambaye ni Mfungwa aliyesamehewa na Rais Magufuli, walimkata sikio na kuchukua Tsh.Million 12 lakini alipambana nao hadi akafanikiwka kuokoa Tsh.Milion sita na wakaondoka na Million 6.
•
Minja anasema alipigwa hadi kuzimia na aliposhtuka alimuona Tilya akiwa kwenye dressing table, akachukua panga na kumkata kiunoni ili kujiokoa huku akipiga kelele, Majirani wakaingia na kumshambulia Tilya hadi kufariki.