moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Mimi Simba siwezi kushabikia walahi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huwa unaniudhi sana kuiponda Simba, siku ukisapoti Simba nitakusifia kwa kila kitu chako na jina la stella litakufa mara moja[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Karibu simba Saint anne aka Stella[emoji2089][emoji2089]
Sent using Jamii Forums mobile app
Jamani[emoji23][emoji23][emoji23] Stella
pata burudani hii special for you
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nafurahia utulivu wa stella[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
😂😂😂 akisumbua tu namwambia Esta huyo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
ha ha leo Stella tu ndo mpole[emoji23][emoji23]hamna mtu mpole humu
"It's better to be stable than strong"Uzi huu ni maalum kwa wale wapendao kupeana likes. Hapa comment chochote kasoro lugha chafu utapata like yako saaafii! Karibuni wadau
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Huwa unaniudhi sana kuiponda Simba, siku ukisapoti Simba nitakusifia kwa kila kitu chako na jina la stella litakufa mara moja[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Karibu simba Saint anne aka Stella[emoji2089][emoji2089]
Sent using Jamii Forums mobile app
Mchaga haachii pesa zake hivi hivi aisee....ila akina Tillya nao walikuwa hawakujipanga vizuri tu vinginevyo yangekuwa mengine....Husein Minja ambaye ni Mfanyabiashara Wilayani Mwanga, Kilimanjaro amesema baada ya kuvamiwa na Watu wanne wanaodaiwa ni Waporaji akiwemo Tilya ambaye ni Mfungwa aliyesamehewa na Rais Magufuli, walimkata sikio na kuchukua Tsh.Million 12 lakini alipambana nao hadi akafanikiwka kuokoa Tsh.Milion sita na wakaondoka na Million 6.
•
Minja anasema alipigwa hadi kuzimia na aliposhtuka alimuona Tilya akiwa kwenye dressing table, akachukua panga na kumkata kiunoni ili kujiokoa huku akipiga kelele, Majirani wakaingia na kumshambulia Tilya hadi kufariki.
I hope hajakwazika [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]naona Esta na kundi lake leo wamekuweza
#kimyaKabisa
#upoupoTuLeo
Hamida yupo kazini...