Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
[emoji23][emoji23][emoji23]kabisaaaYaani ukiunga unga stori zake unapata full bio. She will never walk alone aisee [emoji16][emoji16]
Mimi simu yangu haiwezi kurudiNaomba kwa wote ambao hatuku-like post ya muanzisha uzi, turudi juu ku-like wakuu.
Ukipanda juu tu hapo unaonekana
Mwenyekiti wa CUF, Profesa Ibrahim Lipumba amekamatwa na polisi kijiji cha Segera wilayani Handeni, Tanga akidaiwa kufanya ziara bila kibali
ukiona udongo mwekundu ujue ni makunduchi
View attachment 1335182
Watoto wa 2000 Ni hawa kina DepalKa stella ni katoto ka 2000 haka
Kanatusumbua tu hapa[emoji23][emoji23][emoji23]
Uchawi upo walahi[emoji134][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23]
Naomba ule mkoba uliobeba basi
Sio lazima ununuliwe unaweza pika mwenyewe mpendwaHivi kwenye huu uzi hakuna hata mtu wa kuninunulia pizza walau nionje inanogaje[emoji16][emoji16]
Sent using Jamii Forums mobile app