Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Daah hatari sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unajazaje jibu ambalo halipo aisee [emoji16][emoji16] utapata sifuri

Sent using Jamii Forums mobile app
Katika nchi nyingi zenye elimu ya maana hii inaruhusiwa. Ukiona majibu yaliyopo hayapo basi unaweza kupendekeza jibu lako ali mradi tu utoe sababu ya kwa nini unafikiri jibu lako ni bora.

Jibu hapo ni D: Mwongeaji kidogo, mkimya kidogo....
 
Sasa hapa tuko bongo achana na hizo nchi zenye demokrasia za ajabu [emoji3][emoji3]
Katika nchi nyingi zenye elimu ya maana hii inaruhusiwa. Ukiona majibu yaliyopo hayapo basi unaweza kupendekeza jibu lako ali mradi tu utoe sababu ya kwa nini unafikiri jibu lako ni bora.

Jibu hapo ni D: Mwongeaji kidogo, mkimya kidogo....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…