D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,665
- 121,102
Asipokwenda kufanya kazi mtakula nini? Mabarabara ya hatari na miradi mingine tata na migumu huwa inaondoka na watu wengi sana. Wengine inabidi wajitolee maisha ili wengine waje waishi kwa raha. Hata mumeo angekufa kwenye kazi kama hii angekufa kifo cha utumishi....Kuna mtu yumo humo ndani Kwenye hilo dude [emoji44][emoji33]..akidumbukia humu ndani?
Kama Ni mume wangu siwez mruhusu akahatarishe maisha hapo[emoji17]
Sent using Jamii Forums mobile app
Nchi hizo ndiyo zinaongoza kwa kuwa na elimu bora duniani. Mimi pia ni mwalimu na katika madarasa yangu huwa nasisitiza sana wazo hili katika mitihani na semina zote za wanafunzi wangu. Wakiona jibu ninalopendekeza halifai basi waje na jibu lao na nikilikubali basi hapo ni mwendo wa A+ tu. Kwenye evaluation huwa wanaappreciate sana kuwapa nafasi hii ya kutoa mawazo yao kwa uhuru. Na katika darasa moja zuri sana nilikusanya mawazo yao mbadala nikayapanga vizuri nikawapa na kuwashauri wayarekebishe halafu wayatume kama pepa kwenye jarida fulani hivi zuri la kitaaluma. Baada ya miaka miwili pepa yao ilichapishwa. Walichokuja kunifanyia sitakaa nisahau na mpaka leo ukiingia ofisini kwangu utakuta kumbukumbu yao. Elimu ya maana inapaswa kuwapa nafasi wanafunzi ya kufikiri sana tena nje ya boksi ikiwezekana na siyo hii ya kukaririshana tu....Sasa hapa tuko bongo achana na hizo nchi zenye demokrasia za ajabu [emoji3][emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo sasa. Cha muhimu hapo tu awe na bima ya kueleweka ili akiporomoka huko nyie mnaachwa na mamilioni yenu mnaendelea na maisha vizuri...
Halafu nina siti nzuri kabisa...Hips don't lie kwa kweli [emoji16][emoji16][emoji16]Nenda kafaudu mauno ya Shakira na JLO wakati wa halftime! [emoji3][emoji3]
[emoji818][emoji818][emoji818][emoji818][emoji818][emoji818]