Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,950
- 236,667
Hawezi kufia kwa jimama[emoji818][emoji818][emoji818][emoji818][emoji818][emoji818]
Kuliko akafie kwa jimama huko nje si afadhali angalau afe akifanya jambo la maana kwa jamii? [emoji16][emoji16][emoji16]
Karibu ila jiandae [emoji16][emoji16][emoji16]Aisee we ni mwalimu bora naomba ns mimi nafasi ya kuwa mwanafunzi wako [emoji85]
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio hapo sasaUnafikiri mpaka ameamua kufanya hii kazi hizo kazi zingine hajaziona?
Sana tu[emoji1787][emoji16][emoji16][emoji16] we andaeitini acha usanii eti unapenda mazima, unajua kupenda wewe?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ada?[emoji16][emoji16]Karibu ila jiandae [emoji16][emoji16][emoji16]
Akaione hii ambayo ina probability kubwa ya kumuondoa mapema?Unafikiri mpaka ameamua kufanya hii kazi hizo kazi zingine hajaziona?
Ni nani huyu? Kale kakijana kengine sijui ka Alekizanda umeshakatema? Ulisema uko tayari kukapa zawadi kubwa sana. Yaani wewe dah [emoji16][emoji16][emoji16]
Bure...Nitajitolea...[emoji16][emoji16][emoji16]
Ohoo bure ghali [emoji16][emoji16][emoji16] naomba nilipe tu ada ndugu mwalimuBure...Nitajitolea...[emoji16][emoji16][emoji16]
Mh !!!
Tuliwahi kuwa na prof humu. Sijui madarasa yake yaliishia wapi...Ohoo bure ghali [emoji16][emoji16][emoji16] naomba nilipe tu ada ndugu mwalimu
Sent using Jamii Forums mobile app
Ulikuwa unawaza nini mpaka ukaishia kujishona?
OMG [emoji7][emoji7][emoji7]Ni nani huyu? Kale kakijana kengine sijui ka Alekizanda umeshakatema? Ulisema uko tayari kukapa zawadi kubwa sana. Yaani wewe dah [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 1338891