Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 62,068
- 127,679
[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134] aisee mbona unataka kunifanya nibaki na ujinga wanguTuliwahi kuwa na prof humu. Sijui madarasa yake yaliishia wapi...
Kama bure hutaki basi ada itakuwa milioni tano kwa semesita moja....
Unajichanganya sasa. Haka na yule mwingine nani uko tayari kumpa zawadi yako kubwa?OMG [emoji7][emoji7][emoji7]
Anold Alexander Trent
Chotara HB mrithi wa Gerrard wangu[emoji91]View attachment 1338899
Sent using Jamii Forums mobile app
Mambo mengi kaka yangu, kilikuwa ni kitendo cha kufumba na kufumbua sijui hata ilitokeajeUlikuwa unawaza nini mpaka ukaishia kujishona?
Zawadi kubwa ipi hiyoUnajichanganya sasa. Haka na yule mwingine nani uko tayari kumpa zawadi yako kubwa?
Ulipona? Na kingetoboka kweli mimi nilijishona karibu nusu ya ukucha, imagine sindano inachana ukucha na kutokezea upande wa pili, kama nguo yani
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Unajichanganya sasa. Haka na yule mwingine nani uko tayari kumpa zawadi yako kubwa?
Nilipona,ile nakanyaga Mara nikakaribisha kidole,almanusura nishone kidole changu..Ulipona? Na kingetoboka kweli mimi nilijishona karibu nusu ya ukucha, imagine sindano inachana ukucha na kutokezea upande wa pili, kama nguo yani
Sent using Jamii Forums mobile app