Hahhaahahah
Mtunze sana hyo mtoto SHIMBA.... Wengi tunamkodolea macho, ukimpa tu kisogo kuna foleni nyuma yake ya km 20...!! Ntakua wa kwanza kumdandia ukijishauwa...!!!
Ukijichanganya tu mvua 30 dah! Tena kwa sasa ishu ya mimba iko moto balaa...Wazee wa likes nawakaribisha jela
Na wewe ni mzee mnyatiaji mazizi ya watu?
Vipi mbona miguno...?? Carbamazepine..
KWELI HII JELA INAKUITA KABISAWazee wa likes nawakaribisha jela
[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39] nimeshiba ila nimesikia njaa tena duuuh
Wazee wa likes nawakaribisha lunch...
Asante sana karibu pia kusambaza likes
Wazee wa likes nawakaribisha lunch...