myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Uyole hakuna mito? Au mtoto wa kishua?
πππ kunaepukika kabisa
Ulafi wao utakuja kuiangamiza dunia
Umefanikiwa katika pambano lako bro? Ustaadh jana alifanya madhara makubwa sana [emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23] kunaepukika kabisa
Pendeza
Wa kishua wapi?Uyole hakuna mito? Au mtoto wa kishua?
Jifunze kuogelea. Ni muhimu sana kwa sababu huwezi jua lini utakuwa kwenye dhahama
Mwaka wenu huu. Furahini !!!
πππ pambano lilikua rahisi sana nimempiga kwa KO sidhani kama atarudi tena humuUmefanikiwa katika pambano lako bro? Ustaadh jana alifanya madhara makubwa sana [emoji16][emoji16][emoji16]