Usinijibu ivyo
Member
- Nov 5, 2019
- 14
- 26
Sina mpango wa kujifunza kuogeleaJifunze kuogelea. Ni muhimu sana kwa sababu huwezi jua lini utakuwa kwenye dhahama
Mimi nafundishaga mabinti kuogelea. Na bikini zipo [emoji123]
Na hiyo ndiyo sababu nyingine inayonifanya nisijifunze kuogelea[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mimi nafundishaga mabinti kuogelea. Na bikini zipo [emoji123]
Unaweza kuvaa nguo za heshima siyo lazima bikini. Lete sababu nyingineNa hiyo ndiyo sababu nyingine inayonifanya nisijifunze kuogelea[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kukaa uchi mbele za watu Ni kipaji
Sent using Jamii Forums mobile app