Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Wale Wanaume wenye Wako Na DIMPLES ......
Tutajuaje Kama Hamnyeshi[emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4]
Mwangalie huyo mzungu anavyorilaksi hapo chini baada ya kula konde la uhakika. Hii ndo michezo sasa na siyo hizo rede zenu mnazoshabikia [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
Kumbe kuna kuwahi na kumiliki. Na kuna kumiliki bila kuwahi. This is deep [emoji16][emoji16][emoji16]Haswaa. Ngoja nimuonyeshe kama ujanja ni kuwahi au kumiliki.
Ze revolusheni wili vi televaizidi [emoji16][emoji16][emoji16]ndo nimerud leo nakuta majaribio ya kunipindiua
#vijanaWanatakaVita
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
gazeti la urojoo.
mfilisti ndembe ndembe,
atokwa na jasho msimu wa baridi...
amtishia mpinzani wake aliyejitokeza siku chache....
aonekana kwa mganga akitafuta tiba ya tatizo lake linalomsumbua.
ujumbe wa mhariri daemusin..
ukitaka wa peke yako nenda kiwanda cha sabuni.
Sitaki Mimi[emoji1751]Mwangalie huyo mzungu anavyorilaksi hapo chini baada ya kula konde la uhakika. Hii ndo michezo sasa na siyo hizo rede zenu mnazoshabikia [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
View attachment 1341409
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23] mbona namiliki kitambo mzee na mtoto mzuri Ayyanna ameanza kutema mate na kula maembe mabichi tayari
unataka usaidie kulea?
Mimi nilikaa kimya ili nipime integrity na loyalty ya shemeji. Kuongea na mabaharia mchana kweupe mbele ya kandamnasi hakufai [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]hebu muulize Don SHIMBA YA BUYENZE akupe copy ya cheti cha ndoa maana yeye ndio mtunza kumbukumbu humu
Uko deep sana NaddySL...[emoji16][emoji16][emoji16]Dah! Kiwanda cha sabuni!
Hili ni hitaji mojawapo kubwa la kila mwanaume rijali haijalishi ni mshusha nondo ama la!Kumbe na wewe Mwindaji humu?
Aisee nakuonaga unashusha nondo tu jukwaa fulani...
Kompyuta zote mi nilishakabidhi kwako. Umesahau?zitakua hujuma za wazi sasa kama computer ya SYB nayo imeibiwa
Mianasiasa [emoji36][emoji36][emoji36][emoji36]Tujikumbushe Zitto alipompinga Lissu na kusema kuomba nchi inyimwe misaada ni uhayawani
Hii ilikuwa ni Mwaka 2017. "Mbunge wa Kigoma Mjini Zitto Kabwe amekuja juu na kutoa ya moyoni akionekana kutofurahishwa na taarifa iliyosambaa kwenye vyombo mbalimbali vya habari ikiwemo mitandaoni ikitokea Chama cha demokrasia na maendeleo- CHADEMA" Kauli za Zitto zilifuatia taarifa...www.jamiiforums.com
Sent using Jamii Forums mobile app