Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Carpa tulia. Yaonekana bado mapenzi ya Kichwa yanapwita pwita eeh? Huyo Cole naye kulala lala tu. Najua ana Malaria lakini mijibaba ya hapa midowezi haijali kama unaumwa ama la. Hata kama mtu unakata roho yenyewe ipo tu inamendea. Mwamshe!
Mi nimetulia na Cole mbona?nampenda Cole wangu jaman
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…