cocochanel
Platinum Member
- Oct 6, 2007
- 29,011
- 79,226
Kumbe cocochanel alikuwa makiniHata mimi nilikua sijui kwakweli
AsingeropokaDah so sad[emoji22]
Moyo mashine carbamazepineCarpa tulia. Yaonekana bado mapenzi ya Kichwa yanapwita pwita eeh? Huyo Cole naye kulala lala tu. Najua ana Malaria lakini mijibaba ya hapa midowezi haijali kama unaumwa ama la. Hata kama mtu unakata roho yenyewe ipo tu inamendea. Mwamshe!
go gogo la mtiMi mimi mdogo
Acha basi we mwanamke