Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Nitafanya hivyo baada ya muda nikiwa karibu na kompyuta. Ujumbe huo hauwezi kuwekwa hapa kamanda? Unatoka kwa watu wasiojulikana ama? [emoji16][emoji16]
Jaribu kwa mwingineDaah, nilitaka...............
Ndio namvizia hapa, akija niruke nae.Jaribu kwa mwingine
😂 😂 😂 😂 😂Ndioooooo
Inshallah uongeze mke wa nneNdio namvizia hapa, akija niruke nae.
Jukwaa lile halifai hasa kama hujawekeza kwenye siasa kimaslahi labda kama una ubishi wa asili na unapenda kutukanana. Kule hakuna ustaarabu wala hoja ni matusi tu mtindo mmoja.Katika jukwaa ambalo ushabiki uko mwingi sana, jukwaa la siasa. Niliwahi kuingia siku fulani nikahoji, aisee nilichojibiwa nikaona watu wajinga kuliko ujinga mwenyewe, nikasema siingii tena kule.
Shauri yako...
Afadhali uniite shemeji...
... na tunakulaga [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2221][emoji2221][emoji2221]
😀😀😀😀😀😂 😂 😂 😂 😂
Ndio lengo.Inshallah uongeze mke wa nne
Muite tu anaweza kutokea...Ndio namvizia hapa, akija niruke nae.
Ambavyo nawanyima wenzio
Sisi wengine wavumilivu sana, acha nimsubiri tu mpaka atokee.Muite tu anaweza kutokea...
Basi niite tu shemeji na bro Mfilisti akisafiri basi usisite kuniita nije hapo home kusaidia saidia majukumu yanayohitaji mwanaume...na kuleta baadhi ya mahitaji muhimu. Jisikie huru kabisa shemeji.Shemeji mdomo mzito sana [emoji6][emoji6]
Why?Aiseee
Jukwaa lile halifai hasa kama hujawekeza kwenye siasa kimaslahi labda kama una ubishi wa asili na unapenda kutukanana. Kule hakuna ustaarabu wala hoja ni matusi tu mtindo mmoja.
Mpendwa, wewe uke wenza hutaki? Hutaki ujiko wa kuwa mke mdogo wa Ostaadh? [emoji2099][emoji2099][emoji2099]Inshallah uongeze mke wa nne
Embu niombee aisee amalizie nafasi iliyobaki.Mpendwa, wewe uke wenza hutaki? Hutaki ujiko wa kuwa mke mdogo wa Ostaadh? [emoji2099][emoji2099][emoji2099]