moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Nilipokea mahari mimi? Kutoka kwa nani? Lini? Wapi? Kwenye ID yako hii hii mpya au ya zamani?
Kwahiyo humu hata ukitukana unapewa likes sio ?
Abilia chunga mzigo wako [emoji3][emoji3][emoji3]mkataze asitokee
Shauri yako...
Afadhali uniite shemeji...
... na tunakulaga [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2221][emoji2221][emoji2221]
Humu huwa hatutukanani. Tukitaka kutukanana tunahamia jukwaa la siasa. Tukimalizana huko tunarudi huku tena na upendo unaendelea [emoji16][emoji16][emoji16]
Katika jukwaa ambalo ushabiki uko mwingi sana, jukwaa la siasa. Niliwahi kuingia siku fulani nikahoji, aisee nilichojibiwa nikaona watu wajinga kuliko ujinga mwenyewe, nikasema siingii tena kule.
😂😂😂😂Ukute ayyanna ni mkwepu jr.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
#polekwamfilisti
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mimi Ayyanna sijawahi kujulikana kama mke wa mtu.
💯 true... pyua safokesheni
Basi niite tu shemeji na bro Mfilisti akisafiri basi usisite kuniita nije hapo home kusaidia saidia majukumu yanayohitaji mwanaume...na kuleta baadhi ya mahitaji muhimu. Jisikie huru kabisa shemeji.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mtandaoni humu everesingi izi posibo...
Kuna baharia nimemuona mahali anatoa ushahidi kuwa alishatongoza mademu watatu humu baadaye akaja kugundua kuwa eti zote zilikuwa ID za mtu mmoja.