Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mzee wa upako alisema nchi hii ukifa masikini eti we ni fala tu...

Halafu baada ya muda akaanza kulalamika siku hizi watu hawatoi sadaka kwa wingi kama zamani kiasi kwamba uchumi wake umetetereka kidogo [emoji16][emoji16][emoji16]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Baharia kapigwa 40, kafungua mpaka uzi na bado anadai anamuonea huruma kwa kupoteza rafiki kama yeye[emoji23][emoji23][emoji23]
Fote inauma...[emoji16][emoji16][emoji16]

Halafu anajifanya eti alikuwa hana hata mpango wa kumtafuna huyo binti wakati keshatafuta mpaka accommodation kwa siku mbili. Mabaharia bana [emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Staa huyo aliyenaswa na Toon kwa ada ya Pauni 40 milioni bado anahesabika kuwa ni mmoja kati ya wachezaji wenye viwango vikubwa na thamani kubwa licha ya ubora wake wa sasa huko St Jamesโ€™ Park kushuka kimtindo.
 
Hata hivyo, Joelinton, 23, kwa bei yake ya sokoni kwa sasa imeshuka kwa Pauni 13 milioni kutoka kiwango kile ambacho Newcastle United imelipa kumsajili, ambapo kwa sasa thamani yake ni Pauni 27 milioni kwa mujibu wa transfermarkt. Kwa msimu huu, fowadi huyo amefunga mabao mawili tu katika mechi 28.
 
Straika wa Paris Saint-German na mshindi wa Kombe la Dunia, Mfaransa Mbappe, anashika namba moja kwa kuwa na thamani kubwa sokoni, akitajwa kushika namba moja kwenye orodha ya mastraika 50 wa chini ya miaka 23 wenye thamani ya pamoja na Pauni 1.3 bilioni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ