Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 62,068
- 127,679
Mimi tulishawahi kupishana kwenye comments akanianzishia uziMshana na sifa zile mbona hafanani labla popoma
Baba mwenye nyumba kule uzi wa snap it au selfie si unapafahamu ee
Popoma Ni Nani?Popoma hahusiki pale kasome koment zote,wapenda ukweli wameshafichua code zamani
Hahah! MajiniAss haoHaka ka uzi kana ukweli ndani yake ila wengi wanaogopa kaugomvi basi wanakoment kiuoga uoga
Jamaa huyu anaboa sana umu JF. Jiwe gizani, sema yalaaaa...limekupata
Aiseee Sent using Jamii Forums mobile appwww.jamiiforums.com
He!,,,,,,,,,
Naona povu lake nikajua ni yeyePopoma hahusiki pale kasome koment zote,wapenda ukweli wameshafichua code zamani
Suruali ina feni 😂 😂 😂 😂
Kwa I'd yake hii namuonaga hapendi kujikweza wala mabishano
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka kwa nguvu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Safiii
Jamani..Baba mwenye nyumba kule uzi wa snap it au selfie si unapafahamu ee
Hakujibu wewe unayemkwaza direct ila anajibu kupitia comment ya mtu mwingine anayemuunga mkonoKwa I'd yake hii namuonaga hapendi kujikweza wala mabishano