Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Naona uzi umekaa kiwivu wivu, chuki na kunyimana haki za kujieleza.
Maana mtu kama hajakutuma kutembelea uzi wake unawashwa nini?
Mimi naona huwa anaelimisha tu.
Hakuna sehemu aliyotoa mawazo ili aonekane anajua..halafu huku Jf Ni jukwaa huru kwa hiyo mtu Ana uhuru wa kuandika na kuchangia chochote

Wanamuonea

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Una hoja, tena hoja nzito.
Ila ulitakiwa ukaimwage pale, ili hata mtu kama mimi ambaye sifutilii mambo yake ningemjua kwa kiasi furani.
Masuala ya kuvamia uzi wa mtu kwa nia ya kuhamisha wachangiaji na upumbavu na wivu wa kijinga
 
Hii kitu nai copy na kupaste Kule ....naomba ruhusa KAKA....
 
Hata yeye sidhani....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…