Ayyanna
JF-Expert Member
- Jan 5, 2020
- 397
- 2,648
Tuseme ule ukweli ambao mleta mada hajauongelea. Kuna hii tabia ambayo bibie mmoja alimkosoa sijui baada ya hapo kama urafiki uliendelea. Ana tabia ukianzisha uzi either atakuja kujibu kwa kuweka link ya uzi wake ambayo haufanani sana na wa mleta mada(hapa anakosea maana badala ya wachangiaji kuchangia uzi husika wanahamia kwenye link ya uzi wake)
Tabia ya pili,ukianzisha uzi ukanoga akaja changia kidogo tu atasema ataeleza kwa upana kwenye uzi wake atakaouanzisha badala ya huo(hio inaua uzi husika wadau wanabaki kusubiria uzi wake)
Huyo bibie alianzisha uzi,jamaa akaleta link yake hapo,sasa mwenye uzi alikua anahitaji mawazo mbali mbali akaomba link hio ifutwe itahamisha mjadala
Japo ni hivyo lakini pia kuna social intelligence - kujua useme nini na wakati gani ili uendane na watu waliokuzunguka. Mf. Darasani na hata mkutanoni. Ni haki ya kila mtu kusema lolote na cho chote lakini kama mtu yule yule ndiyo anaongea tu muda wote na kujifanya anajua kila kitu, hakanyiki wala kusikiliza hoja za wengine hata ziwe nzuri namna gani kunakuwa na mushkeli mahali. Kuwakwaza watu siyo lazima uvunje sheria kwa sababu maingiliano na watu katika nyanja zote hayajatungiwa sheria za vitabuni.
Hivyo kuwa na uhuru wa kuandika na kusema cho chote haina maana kweli ndiyo useme na kuandika cho chote hata katika masuala usiyoyajua sawa sawa huku ukipuuzia maoni ya wengine (pengine wenye ujuzi zaidi kuhusu mada husika). Hayo ni matumizi mabaya ya uhuru [emoji2221][emoji2221][emoji2221]
Enhe hebu elezea utatufikishaje juu kote huko? Anza safari inapoanzia
Pale wameongelea mengine nami sitaki tabia ya kuhamisha michango ya watuUna hoja, tena hoja nzito.
Ila ulitakiwa ukaimwage pale, ili hata mtu kama mimi ambaye sifutilii mambo yake ningemjua kwa kiasi furani.
Masuala ya kuvamia uzi wa mtu kwa nia ya kuhamisha wachangiaji na upumbavu na wivu wa kijinga
Kabla hujamuweka naona tayari tushawekwa wa kutoshaAtatufanya tumweke kwa ignore list ashindwe kuonekana....
Kabla hujamuweka naona tayari tushawekwa wa kutosha
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Enhe hebu elezea utatufikishaje juu kote huko? Anza safari inapoanzia
Kabla hujamuweka naona tayari tushawekwa wa kutosha
Kuna uzi mpya tu ....keshaweka rejea ya uziwake wa kitambo....kumbe katabia endelevu eeehhh....?