Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,950
- 236,667
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Jana yamenipata maana na mie mwenyewe bingwa wa kukopy kazi za watu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hawa wapare hawafai kabisa.
Ni wachoyo sijapata kuona..
Bora hata wachagga kuliko Hawa wapare.
Sent using Jamii Forums mobile app
Siku hizi napitwa sana na mambo ya humu ndani yani sikujua kama ndio yeye, ndio maana jana naona nabishana tu na mgeni kumbe ni huyu binti wa LiVARpoorNdio,yaan kabadili jina tu ila kila kitu kipo pale pale
Halafu mashabiki wanailinganisha epl na la liga. Na kusema epl nyepesi hasa enzi pep anatawala,saiv kabanwa bado wamepata cha kusema kisa points za liver kuwa juu. Wao hawajioni ile la liga ni ya timu mbili,atleco wa tatu kila msimu
Kwa mtanzania aliyeanza kuangalia epl juzi atakwambia ongeza aston villa hapoMimi binafsi La Liga siioni kama ni bora kupita EPL.
Isipokuwa naiona kama ni ligi yenye bahati ya kuwa na timu mbili bora duniani (probably top 2 in the world for the last 10 to 15 years), na ukiondoa Barca na Madrid kwenye ile ligi, hakuna atakayeitazama.
EPL unatakiwa uondoe Man Utd, Man City, Liverpool, Arsenal, Chelsea na kwa kiasi Tottenham ili ligi ipoteze mvuto.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] king bana ,stella habadiliki,nilimgundua sekunde chache tu baada ya kubadili jina. Bora angejiita stellaSiku hizi napitwa sana na mambo ya humu ndani yani sikujua kama ndio yeye, ndio maana jana naona nabishana tu na mgeni kumbe ni huyu binti wa LiVARpoor
Kwa mtanzania aliyeanza kuangalia epl juzi atakwambia ongeza aston villa hapo
Ndio maana hispania hawataki kutengana na katalan maana wanajua na timu ya barca either wataikosa au watagawana mapato makubwa jambo ambalo hawalitaki.
Huko mbali bro mimi nilibahatika tu hapo Wazo Tegeta [emoji3]
Kweli. Naombea UCL msimu huu kombe libaki EPLNimecheka hapo kwa Aston Villa!
Yes, nasikia pia Katalunya ina utajiri mkubwa pia.
Mimi La Liga sijawahi kuangalia game yoyote ambayo timu zinazocheza hazi involve Real Madrid au Barca.
UEFA toka ianzishwe, timu za Spain ambazo zimechukua ni 2 tu, Madrid na Barca wakati timu 5 England zimechukua; Liverpool, Man Utd, Chelsea, Nottingham Forest na Aston Villa. Hiki pia ni kielelezo cha ushindani wa timu za ligi husika.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Siku hizi napitwa sana na mambo ya humu ndani yani sikujua kama ndio yeye, ndio maana jana naona nabishana tu na mgeni kumbe ni huyu binti wa LiVARpoor
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Aki narudisha Jina langu la mwanzo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] king bana ,stella habadiliki,nilimgundua sekunde chache tu baada ya kubadili jina. Bora angejiita stella
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Aki narudisha Jina langu la mwanzo
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli. Naombea UCL msimu huu kombe libaki EPL