myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Kule tayari bro 😀[emoji23][emoji23][emoji23].ulishapanda milima ya wazo bro[emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni dada yangu huyo, usimchanganye na mashemeji.Bro naona uko busy na shemeji yako [emoji23][emoji23][emoji23]
Lakini salama bro.
Ila nadhani mfilisiti amekupa ruhusa kumliwaza kwa stori shemeji yetu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
Sent using Jamii Forums mobile app
Habari za kusikika hizo usiziamini bro😀😀😀Ulionywa lakini kwamba ukae mbali 😀
#NaonaKibishibishiTunasonga
hahahahahaha, haya bana🚶♂️🚶♂️🚶♂️🚶♂️🚶♂️Nasikia bradha Ni mpare.
Nisije kufa njaa mie[emoji1787][emoji1787].
Kuna mpare mmoja hapa jirani huwa usiku anakula ubuyu,anashushia na maji kukwepa gharama kubwa za chakula.[emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Ah! Mimi nakujua wewe vizuri tu ulishawahi kunitishia amani adi mimi, sasa kuwa makini watu wengine sio wa peace and love 😅Habari za kusikika hizo usiziamini bro😀😀😀
Fatilia vizuru hayo maneno ya mzee wa Temeke yana ujumbe mzito ndani yake 😃Ni dada yangu huyo, usimchanganye na mashemeji.