Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
[emoji16][emoji16] unajifanya hujaelewa swali eeh?Ninavyogharamia kwa mwanamke ama?
Ukijibu nitakujibu
[emoji16][emoji16][emoji16] utanifanya nirudishe tenaMaini hoyeeeeee !!!
Jina letu orijino limerudi.
Mapupu ziiiiii !!!
Unajuaje? [emoji16][emoji16] unajua nilituma maombi linihuenda ana undugu na maxence melo
ndani ya nusu amebadilishiwa jina lake wakati sisi wengine tunakaa siku nzima au zaidi.
Swali haliendani na maelezo ya juu...
Hivi kati ya mwanamke na mwanaume nani ana mahitaji sana ya hela? Nani anatumia hela nyingi?
Thubutuuuu...
Wameshindwa tu notificationAisee. Namsubiri Daughter of God naye aturudishie jina letu...
Melo na mods wake ukiwabahatisha ishu yako inatatuliwa pale pale. Ukiwakosa hata mwezi utaisha [emoji16]
[emoji16][emoji16][emoji16] nimecheka kama fala na hiyo caption yako sasa uwiiiMtuwacheeee. Jizazi [emoji12][emoji12]
View attachment 1350967
Wa kuniignoa nani? Sijaona mwenye jeuri hiyo hum ndani [emoji16][emoji16]Thubutuuuu...
Jaribu uone kama hutachezea iginoa listi ya mwaka mzima [emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji3][emoji3][emoji3] mjanja weweSwali haliendani na maelezo ya juu...
Kamwe usikurupuke kujibu swali kama hujalielewa vizuri [emoji16][emoji16][emoji16]
Mimi Melo alinibadilishia ndani ya dk hata 5 hazikufika.
Mimi sibadili tenaAisee. Namsubiri Daughter of God naye aturudishie jina letu...
Melo na mods wake ukiwabahatisha ishu yako inatatuliwa pale pale. Ukiwakosa hata mwezi utaisha [emoji16]