Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 62,068
- 127,679
Mimi Melo alinibadilishia ndani ya dk hata 5 hazikufika.
Nadhani inategemea na siku..siku akiwa free basi anashughulikia kwa haraka.
Siku akiwa busy anachelewa
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwezi wa 5?[emoji134]Ukituma maombi akiwa yuko online nadhani. Mimi nilituma maombi mwezi wa tano sikujibiwa hadi mwezi wa kumi na mbili ndio kuja kuniuliza eti bado wataka? Ingawa nilikuwa nimeshaahirisha nikasema ndio, akanibadilishia hapohapo. Jana ndio nimetuma ndani ya dk tano akabadilisha
Sent using Jamii Forums mobile app
Duh! Wangeweka tu option mtu abadili mwenyewe jina lake...Ukituma maombi akiwa yuko online nadhani. Mimi nilituma maombi mwezi wa tano sikujibiwa hadi mwezi wa kumi na mbili ndio kuja kuniuliza eti bado wataka? Ingawa nilikuwa nimeshaahirisha nikasema ndio, akanibadilishia hapohapo. Jana ndio nimetuma ndani ya dk tano akabadilisha
Sent using Jamii Forums mobile app
View attachment 1350912
Jiulize hizo trillioni 10 za ziada hutoka wapi utapata jibu lako...na hapo ndipo panapogomba [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2221][emoji2221][emoji2221]
Ndiyo tu nimeingia JF. Kila mtu atapata laiki yake kwa kadri muda unavyoenda...
Halafu anasema eti rafiki yake ndio anahonga Range Rovers...
Ana kesi ya kujibu kwa mabaharia wenzake kama hicho ndicho kitu pekee alichokula [emoji16][emoji16]
Huyu baharia vipi tena?
View attachment 1350974
[emoji16][emoji16][emoji16] mwongo huyo, ye ndio mgawaji halafu anamsingizia rafiki yakeHalafu anasema eti rafiki yake ndio anahonga Range Rovers...
Ukute ni yeye[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sema tu "The Don" kama unagawaga Land Rovers, BMWs, Audis na trip za five star hotels Dubai...
The Don himuselfu!