Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kutokana na michango ya kamanda wetu BAK kurudi Tanzania ilikuwa ni kujitafutia muhari
Huyu kamanda bwana kwa kweli hata mimi nina wasiwasi naye. Kuna jamaa alitaja ishu ya mtu aliyedakwa JKNIA airport akitokea kwa Trump na baadhi ya watu wali- speculate kuwa huenda alikuwa ni yeye. Uzi uliwekwa JF lakini ukafutwa fasta...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…