Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Heshima yako bro,, habari za masiku?

Hii app inaitwaje? na inapatikana google?
Za kupotea bro? Umerudishiwa nywila?

Unataka ukamdukue nani bro? Una kifua cha kupambana na utakayokutana nayo?

Mimi nilimdukua demu wangu nikakuta ya kukuta huko demu akaishia kunicheka "kumbe hata kifua huna, sasa kwa nini umefanya hivi?"

Ushauri wangu: Kama kuku wako ni mtamu na unaridhika naye we endelea kumla tu. Utajitafutia matatizo yasiyo ya lazima ukianza kumchakura chakura [emoji16][emoji16][emoji16]

#Hakuepukiki [emoji2221][emoji2221][emoji2221][emoji2221]
 
Salama bro, uzima upo na Mungu anasaidia.

Ha ha mtekaji kanionea huruma[emoji2][emoji2]

Hapana bro,nataka niitumie sehemu nyingine tu sio kumdukua mwanamke,

Najijua sina kifua hicho cha kustahimili bro

Yaan mimi hata niwe nmetulia tu hv halaf nijikute nmeshika simu ya mwanamke, ghafra sms iingie, mapigo ya moyo yanachange[emoji2][emoji2]

Sasa hilo la kuweka spy app siwezi hata kulijarbu bro!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…