myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
ππππ nzige sembe hapana, niletee dagaa mchele na donaumepatia.... katafute nzige ule pamoja na sembe
AsanteMlio kwenye daladala na bajaji poleni..
Sawasawa....American jaguar
Huyu anapatikana msitu wa amazon pekee Ni mnyama jamii ya paka huyu kafanana na duma ila yeye ni mweusi mwili mzima kama kiwianapendelea sana kujificha juu ya miti mirefu ana uwezo mkubwa kuogelea ni mnyama mwenye speed kali sana ukimtoa duma .
AminMungu atupe afya na uzima...
Aisee.....Asilimia kubwa ya madawa ya kisasa yanayotumika hospitalini yanatokea katika mimea ya msitu wa Amazon. Na hadi sasa ni mimea asilimia moja tu! Ambayo imetumika kutengeneza madawa.Bado kuna asilimia 99 haijatumika.
huko kwenu kilimanjaro wameshafika kwenye mashamba yenu....ππππ nzige sembe hapana, niletee dagaa mchele na dona
Wadudu hatari sana hao...kula kwao ni maafa kwa binadamu...huko kwenu kilimanjaro wameshafika kwenye mashamba yenu....
tungule zimeadimika
samaki wameadimika
nzigeeeee ndio kitoweo kilichobakia
View attachment 1354498
Si ulinambia best kwamba jamaa ana shabahaπππππππ
Huo ukweli ulibandikwa mbao zipi za matangazo?!
Dah [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Si ulinambia best kwamba jamaa ana shabaha[emoji3][emoji3][emoji3]
Mimi sijambo depal, habari za kwako? Pole na majukumu..ningendako ile comment yako ya salamu imenipotea.
Natumaini uko sawa, vipi maandalizi ya valentine?