Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

*Kuelekea siku ya Wapendanao, iwapo mpenzi wako atataka vitu vitamu* *(chocolate, cakes sijui maua) siku hiyo, mwambie hata Biblia inakataza akasome:*

*Hesabu 9:11b*, "Jioni ya siku ya kumi na nne ya mwezi wa pili. Ataiadhimisha kwa kula mikate isiyotiwa chachu na mboga chungu".

ASANTE
 
Hahaha haas lol
 
Roho ya huruma imenikamata.
Wangewapima,Kama hawajapata hivyo virusi wafanye kuwarudisha

Sent using Jamii Forums mobile app
Incubation period ni siku 20. Wasubiri huko huko. Zikipita wakiwa wazima ndiyo waje...

Haya mambo hayahitaji mihemko wala huruma. Ni lazima kuzingatia sayansi inavyosema. Wakija nao tena huku yatakuwa yale yale malalamiko mtindo mmoja na kulaumu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…