andjul
JF-Expert Member
- Dec 14, 2013
- 19,383
- 121,663
Ankoo...Maisha ni rahisi sana hapa, kila mtu anapost apendacho hata mtu akikuuliza si kwa ubaya kiasi tufike hadi kuambiwa tubonyeze ignoa listi[emoji16][emoji16][emoji16]
Sent using Jamii Forums mobile app
👊👊👊👊Nilipumzika? Nimeanza tena? Mimi huyu?
Mimi niko huru kabisa kabisa. Naweka cho chote ninachotaka (ali mradi hakivunji sheria. Na kama kinavunja sheria unawaambia mods wanakitoa + ban + iginoa listi). Hakuna anayenifahamu hapa na sina heshima ya kulinda. Nyinyi mnaoogopa kujivunjia heshima ndiyo inabidi muwe waangalifu ...na utakatifu wenu...
Pole kama umekwazika [emoji2221][emoji2221][emoji2221][emoji2221][emoji2221]
Tafiti nyingine huwa nux kweli