Kgothalo
JF-Expert Member
- Jan 6, 2015
- 8,491
- 46,839
Naupenda wimbo huu, Alicia anajua sana
Mungu ni mwema bro[emoji120][emoji120]Mwaka huo nilikuwa na miaka 23 bro....
Namshukuru Molla kwa kunihengesha vizuri kwa kweli. Ai kenti kompuleini [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Kwema lakini Ankoo?
Mungu ni mwema
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Ona sasa...
Unga wa yanga ilikuwa juzi juzi hapa njaa ya mwaka 1974/5 baada ya vuguvugu la vijiji vya Ujamaa. Watu walihamishwa hovyo hovyo tu hata hawakulima matokeo yake kukawa na njaa kali sana. Isingekuwa watu wa Marekani kutuletea huo unga wa kulishia mifugo huko kwao sijui ingekuwaje.
Gob bless America [emoji1545][emoji1545]
Salama kaka u hali gani?
Naunga mkono hoja 😀😀😀Ohoooh! Uhenga umevamiwa sasa ngoja nipige simu Police
Vijana hawataki kujisomea hawa...Ona sasa...
Unga wa yanga ilikuwa juzi juzi hapa njaa ya mwaka 1974/5 baada ya vuguvugu la vijiji vya Ujamaa. Watu walihamishwa hovyo hovyo tu hata hawakulima matokeo yake kukawa na njaa kali sana. Isingekuwa watu wa Marekani kutuletea huo unga wa kulishia mifugo huko kwao sijui ingekuwaje.
Gob bless America [emoji1545][emoji1545]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]babu alikusimuliaNaukumbuka huo mwaka vizuri ankoo, si ndio ule mwaka wa mahindi ya Yanga ehh?
Tulikuwa tunajipanga foleni kukagawiwa yale mahindi ya njano!!
Yaani hiki kizazi cha yope ni shida tu aaah wa zama za mawe tunawaangalia [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ohoooh! Uhenga umevamiwa sasa ngoja nipige simu Police
😀😀😀😀😀AiseeYaani hiki kizazi cha yope ni shida tu aaah wa zama za mawe tunawaangalia [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mungu ni mwema tupo salama kabisa. Kuna siku nikakufananisha njia panda Tabata... Nikajisemea tu "mawazoni wawili wawili" maana hata nikikuona sikujui zaidi ya ile picha ya kipande kuleee...Salama kaka u hali gani?
Familia iko salama[emoji120][emoji120]
😂😂😂😂 Kizazi cha YopeYaani hiki kizazi cha yope ni shida tu aaah wa zama za mawe tunawaangalia [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tabata ya darMungu ni mwema tupo salama kabisa. Kuna siku nikakufananisha njia panda Tabata... Nikajisemea tu "mawazoni wawili wawili" maana hata nikikuona sikujui zaidi ya ile picha ya kipande kuleee...
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yaani hiki kizazi cha yope ni shida tu aaah wa zama za mawe tunawaangalia [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Gamba la Nyoka na mwenyewe gwiji Euphrase Kezilahabi. Padri Madevu na Mama Tinda mjane....
Enzi zenu fulu magome [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Yaani hiki kizazi cha yope ni shida tu aaah wa zama za mawe tunawaangalia [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yaani yalikuwa mawazo tu yamegongana mama [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tabata ya dar