moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Mungu awaponye wagonjwa wote...
Mungu atupe afya na uzima
Jioni iwe njema kwa wote
Amani na upendo viwe nasi
Mungu atupe jioni njema...
So sadTANZIA - Mwana JamiiForums Miguu ya Kuku/ Mpauko afariki dunia
TANZIA: MWANA JF MIGUU YA KUKU/ MPAUKO HATUNAE DUNIANI Kwa mujibu wa rafiki yake wa mitandaoni ni kuwa Mpauko / MIGUU YA KUKU alifariki tarehe 23 /01/2020. Chanzo cha kifo chake ni kujinyonga lakini hakuna taarifa ya sababu ya kujinyonga. Rafiki yake anasema alipotezana nae mtandaoni toka...www.jamiiforums.com
Nimeona video yake ni editing hio
Happy birthday dear moud[emoji512]
Uishi miaka mingi [emoji8]
MUNGU akupe Maisha marefu,utimize malengo yako [emoji7]
Nakupendaga bure[emoji3590]mwana liver mwenzangu
Sent using Jamii Forums mobile app
Congrats moud. Happy birthday to yoooouuuu
Kuna member anaitwa maiti ukienda kusoma nyuzi zake na comments alizojibiwa utabaki unasikitika.Nyuzi nyingi alizoanzisha kakejeliwa hadi sio poa. Inaumiza sana
Ndo maana nimeokoka siku hizi,nimepunguza kashfa kasoro kwa messi[emoji2] na domo