Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kuna member anaitwa maiti ukienda kusoma nyuzi zake na comments alizojibiwa utabaki unasikitika.

Watu wanaichukulia poa depression ila hii kitu inaua.
Duh maskini. Enzi hizo za ligi ya zari kuna binti mmoja aliposikia mama yake zari anaumwa kwake ikawa shangwe na kejeli kede kede ,na habari za msiba zikawa burudani kwake. Zikapita wiki mbili akaja na uzi wa kuomba msaada mama yake anaumwa nikamkumbusha comments zake kwa msiba wa mama ake zari aisee lilimshuka lakini alilalamika mno(kwa style ya mama yake ni muhimu kuliko yule aliyekua anamkejeli). Wanaokejeli wengi hayajawapata yakiwapata wanaumia sana na kuona wameonewa zaidi ya wenzao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…