Alikua mkono wa chumaInna lillah wainna ilaihyi rajiun,
Sikujua kama amefariki.
Kwenye orodha ya wale Majenerali waliompindua mfalme wa mwisho wa misri Fuad ii, 1953, huyu bwana amepata kifo cha mateso kilichoenda sambamba na adhabu za wanadamu hasa kutokana na vile alivyowafanyia watu wake alipokuwa madarakani
Sent using Jamii Forums mobile app
Tutembeleane bhana me ngoja nitakutajia jina la kituo changu baadae mana bado ni mgeni huku nimehamia juzi kutoka huko Spenko
Daah Numbisa naomba nije nikutembelee nile vitamu [emoji39][emoji39][emoji39]Kama hiviView attachment 1369099moudgulf kwa ajili yako
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] vya kuokota tu mtandaoniDaah Numbisa naomba nije nikutembelee nile vitamu [emoji39][emoji39][emoji39]
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha uchoyo we hata kupika unajua[emoji41][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] vya kuokota tu mtandaoni
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hee karibu sana jirani yake bro don nipo huku magulumbabambasi
Mimi jirani wa bro don au wewe?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hee karibu sana jirani yake bro don nipo huku magulumbabambasi
Hahah! Bro unajua mitaa yote huku kama Diwani wetu.....Bro na Spenko wapi na wapi?[emoji23]
Bro sema mitaa yako ni undali, Kidugaro, Alikhan, Maweni. Upanga huko.
Kama siyo hivyo basi tuseme unaishi mitaa ya Luthuli, Milambo, Barrack Obama, yaani kule makao makuu ya washua[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Inna lillah wainna ilaihyi rajiun,
Sikujua kama amefariki.
Kwenye orodha ya wale Majenerali waliompindua mfalme wa mwisho wa misri Fuad ii, 1953, huyu bwana amepata kifo cha mateso kilichoenda sambamba na adhabu za wanadamu hasa kutokana na vile alivyowafanyia watu wake alipokuwa madarakani
Sent using Jamii Forums mobile app
Imenibidi nisome nyuzi zake alizoandika marehemu japo baadhi ya member wanaandika walimsaidia kazi,marehemu alikuwa anahitaji ushauri zaidi na kuwa karibu na mtu wa kumpa faraja inaonesha alikata tamaa na soluhisho kwake ilikuwa ni kifo kuna nyuzi moja nimesoma amejaribu kujiuwa mara mbili kwa kunywa sumu ya panya na kumeza wembe inasikitisha mno.Kweli kabisa. Ndo maana huwa sipendi kufunguka sana humu. Nikiwa na wakati mgumu napotea kwa muda au nakuwepo kuperuzi tu nikiwa sawa naanza kuchati. Haya mambo ya kufunguka sio kabisa japo kuna baadhi wanafanikiwa kupata msaada
Hatari sana.Imenibidi nisome nyuzi zake alizoandika marehemu japo baadhi ya member wanaandika walimsaidia kazi,marehemu alikuwa anahitaji ushauri zaidi na kuwa karibu na mtu wa kumpa faraja inaonesha alikata tamaa na soluhisho kwake ilikuwa ni kifo kuna nyuzi moja nimesoma amejaribu kujiuwa mara mbili kwa kunywa sumu ya panya na kumeza wembe inasikitisha mno.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimemuona king tu hapoSHIMBA YA BUYENZE Davet ma last born inawahusu [emoji3]View attachment 1369117
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe maana mwanzoni wakati unakuja kwenye huu uzi ulimzoea kwanza bro don na meme zake kisha ukafata kutuzoea sie. Ulikua hutaki likes zetu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahah! Wewe binti wewe 😁[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimemuona king tu hapo