Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Mafao nilishapata hata kabla ya ho chi minh hajapata,sema tu maparachichi yananilinda kiaina.
Huku KHERI ndugu yangu sijui huko.

Sent using Jamii Forums mobile app
Huku safi ndugu yangu. Hapa Nansio watu wakifikia hatua ya kupata mafao yao wana kamsemo kao, wanasema; wana "Downsize". Kama alikuwa na jumba kubwa, gari kama V8 anaachana navyo. Sisi Unaongezea nyumba ndogo, vipi tayari hapo? 😀😀
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…