moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Japo nimesema hayo yote bro lakini bado vijana hawa wamenishutumu eti nimetumia kijiti
Mhenga vijana wanajipa matumaini πππππ embu njoo muhenga mwenzangu unisaidie huu mjadala hapa
[emoji1][emoji1][emoji1] Kausha mzee wewe ata Blue huijui
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hiyo anaweza sema hata aliwahi nunulia suruali ili hata rangi yake tu haijui[emoji23][emoji23]
Hapo kwenye hilo daraja ulipokwama na bus zamani 80s hapakuwa na daraja hivyo ilikua ngumu watu wa upande mmoja kujumuika na watu wa upande mwingine hasa wakati wa masika
Nimecheka kifwala[emoji23][emoji23]Nakumbuka 70s nilikua na hiyo pesa nikanunua radio yangu ya kwanza na chenchi ikabaki
Watu tumepanda mabus FIAT na LEYLAND halafu tunachukuliana poa...π€£π€£π€£π€£π€£
π€£π€£π€£π€£ unanichekesha
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwanini uliamua kujiita nigendako/ningendako?Nilikosea kuliandika wakat najiunga humu, ila sahihi ni Nigendako, maana yake ni Mkiwa (mtu anayezaliwa baada ya ndugu zake wawili anaowafata kufariki wakiwa bado wachanga)
Duh!Watu tumepanda mabus FIAT na LEYLAND halafu tunachukuliana poa...
Safi kama umeacha ila hiyo chenchi nilimpa wife kipindi kile akalipe kodi ya chumba na chenchi ya chenchi alifanya shopping yake na kununua mahitaji mengine ya nyumbani
[emoji23][emoji23][emoji23]Ndio nawaambia hapa hawa vijana wanaleta ubishi, vijana wa siku hizi bwana
Kwani leo kuna kitu umechanganya bro?kama ni ile ile punguza kipimo[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ayaaaaaaaa umenikumbusha mbali kweli kweli. Shule nilikua nafungiwa viazi vha kuchemsha hakuna cha hela mtoto wa mkulima[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
πππ basi nakutoa weweAcha tukushirikisha kwenye dhambi zako basi[emoji23][emoji23]