Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Azam wanakosea kujiingiza kwenye biashara ya kugombea wachezaji.
Azam wanapaswa kuwekeza kwenye kuibua vipaji na kuvitumia.
Lakini pamoja na ukwasi walionao wanafanya mambo kama stand united

Sent using Jamii Forums mobile app
Wanasikitisha sana, eti wachezaji waliopigwa chini na timu kama Yanga wao ndio wanachukua wanaweka kikosini. Poor Azam
 
Shukran
 
Uko sahihi ingawa huna cha uhenga bro[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
🀣🀣🀣🀣 bro unanipiga chini umenisahau kwenye vijiwe vyetu enzi zile tupo na kina Side Storowei. Hahah!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…