moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Huo mzigo tu maana unakua nayo miaka mingi ata haifanyi kazi, muda mwingine unatamani upige ata kuku
Mbona humpei mguu Anne ... anaomba weee
Kwema SYB,
Tunasukuma gurudumu la maisha...
Sijui pande hizo
Aah .. waweke tu hapa hiyo "Miguu" tuwe tunapasha moto injiniπ
Umeona Naddy anakushukuru kwa kuniuza
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Mbona humpei mguu Anne ... anaomba weee
Hahah! Ubunifu wangu tu huu π
[emoji23]Ha ha[emoji23] ha[emoji23] ha[emoji23] ha[emoji23] ha[emoji23] h
Sasa wengine tuliopitwa tungeonaje? kitu kizuri shea na wenzioUmeona Naddy anakushukuru kwa kuniuza
Mbona humpei mguu Anne ... anaomba weee
Hahah! Hakika bro, yani unaweza lala usiku uki unaomba dua atokee ata mwizi tuUkifanya mchezo unaweza kumbutua nacho dereva wa daladala anayekuchomekea,[emoji23] angalau ipate matumizi furani
Sent using Jamii Forums mobile app
Eti muwe mnapasha moto injini. Mpaka zina-overheat tokotoko injini on zinatokota [emoji16][emoji16]Kwema SYB,
Tunasukuma gurudumu la maisha...
Sijui pande hizo
Aah .. waweke tu hapa hiyo "Miguu" tuwe tunapasha moto injiniπ
Hahah! Hakika bro, yani unaweza lala usiku uki unaomba dua atokee ata mwizi tu
π π π π πEti muwe mnapasha moto injini. Mpaka zina-overheat tokotoko injini on zinatokota [emoji16][emoji16]
Huku kwema Naddy. Tumshukuru Mungu [emoji1545][emoji1545]
Nikweli lakiniSasa wengine tuliopitwa tungeonaje? kitu kizuri shea na wenzio
Naona bado. Siku akikutana nao laivu vu bin vu sidhani kama atakuwa na maneno mengi hivi. Wanakuwaga wapoleeeee [emoji2221][emoji2221][emoji2221][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Hahah! Ona sasa mtu kaamua aigeuze barutiHahahaha[emoji23][emoji23][emoji23]
Jirani yangu hapa siku ya mwaka mpya aliwatisha sana watu.
Acha azibutue[emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app