carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
Kwamba humu ndani kuna mtu anaomba "mguu wa mtoto"[emoji23][emoji23][emoji23]Nilitamani sana wewe na Shemeji yangu kipenzi kivuruge muwepo mtoe neno kuhusu hii kasheshe ya kulilia mguu wa mtoto tena wa ustaadhi [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2221][emoji2221]
Usiku wa mguuu
Kwamba miguu inajichora kwenye pensi ππ, ila Anne hapa kachengwa kabisaUwiiiiUwiiii[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwamba kuna mtu karopokwa tu mguu wa mtoto na hajaujua?[emoji23][emoji23][emoji23]Naona bado hajaujua [emoji1]
Hivi unajua hata unachokiomba??[emoji23][emoji23]
ππππ wewe acha tuKwamba kuna mtu karopokwa tu mguu wa mtoto na hajaujua?[emoji23][emoji23][emoji23]
Nafwaaaaa
π€£π€£π€£π€£Hivi unajua hata unachokiomba??[emoji23][emoji23]
[emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 1378226
Kumbe aliweka kweli?
Huyu Anne huyu ndio maana siku hizi nakuwa mzito kumbariki
[emoji849][emoji849]
Naelewa mtaniDawa ya deni kulipa [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Kwamba kijana anaanza kubadilika??[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].... Nimeona aisee ila ukiachana na uchungu wa kauli yake pia ni kauli inayotupa matumaini sasa
Mwalimu darasa la kilatini linaendeleaje?[emoji23]Mimi lugha sipo vizuri kabisaaaaaaaaaaaπππ
Shukrani ila anne hatari mpaka MO wetu kakosa pumzi na simba yake
Daah![emoji23][emoji23][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] wewe acha tu
Mungu anakuonaSasa usiku wa jana umelala tena
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nimeona mazee[emoji23][emoji23]
Huyu binti ni habari nyingine
Weka macho akuuze tena[emoji23][emoji23]Sasa usiku wa jana umelala tena
Kwamba miguu inajichora kwenye penzi [emoji23][emoji23], ila Anne hapa kachengwa kabisa