Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ishu ya kiungo

Hapa ndiyo tatizo linakuja, kila mchezaji ambaye amekuwa akitumika kuziba pengo la Henderson ameshindwa kuonyesha kiwango kizuri. Adam Lallana alikuwa na kiwango bora sana, lakini alishindwa kufanya vizuri dhidi ya Chelsea.
 
Utatu uanze kufunga

Katika mechi mbili zilizopita utatu wa Liverpool wa Roberto Firmino, Mohamed Salah na Sadio Mane umeshindwa kabisa kucheka na nyavu na hii imeiathiri timu hiyo ambayo siku zote ushindi wake umetokana na watatu hao.
 
Machine yetu hii.
Huyu jamaa anatisha hatari

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…