Nigendako
JF-Expert Member
- Dec 1, 2017
- 23,296
- 122,446
Hahah! Week zitakua ndefu kinoma na wale wazee wa mikeka watapata tabu sanaWeekend zitapooza sana
Hasa mkwepu jr kule ndo chimbo lakeHahah! Week zitakua ndefu kinoma na wale wazee wa mikeka watapata tabu sana
Wenzake huwa wamemmeza mana yeye ni mpole sana, hapo nae kaamua kuonyesha uwezo wake 👊Owk, sikuwa namfahamu bro, yupo vizuri
Huwa anatoa michango au nikulike tu kama huku?Hasa mkwepu jr kule ndo chimbo lake
Acha tulisubiri tenaAwali Fury alikuwa anataka pambano hilo lifanyike katika Uwanja wa Allegiant wenye uwezo wa kuchukua mashabiki 70,000, uwanja huo unatumiwa na timu ya mchezo wa American Football ya Las Vegas Raiders.
Huwa anacomment kule. Angalia kwenye profile yake utaonaHuwa anatoa michango au nikulike tu kama huku?
Jamaa kajitahidi mzee, kila la kheriWenzake huwa wamemmeza mana yeye ni mpole sana, hapo nae kaamua kuonyesha uwezo wake [emoji109]